HALI ni mbaya kwa kikosi cha KenGold ya jijini Mbeya baada ya juzi usiku kupoteza michezo wa nne mfululizo kwa kunyooshwa na ...
KIKOSI cha Azam kesho Jumapili kinashuka Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam kuivaa Wagosi wa Kaya, Coastal Union ...
NAHODHA wa Tanzania Prisons, Jumanne Elfadhily ametangaza nia ya kustaafu soka, lakini kabla hajafanya hivyo ameamua kuwapa ...
MSANII wa Bongo Fleva, Alikiba amesema laiti angekuwa anaweza kuzungumza lugha ya Kifaransa, angehamia Ufaransa kwa ajili ya ...
ACHANA na rekodi kibao alizoweka supastaa wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), LeBron James, tangu aanze kuichezea 2003, lakini ...
RAPA Lord Eyes ana ngoma inaitwa Sanaa. Kwenye ngoma hiyo, rapa mwenzake wa kundi la Weusi, Joh Makini anaimba kiitikio ...
TEMBEA uyaone. Refa wa zamani, Carlos Chandia amefichua tukio la makusudi kuacha kumwonyesha kadi ya njano supastaa Lionel ...
KUNA maisha baada ya soka. Unajipangaje?Ndio hivyo. Trent Alexander-Arnold ameamua kuwekeza kwenye sekta ya michezo ili mambo ...
Pamoja na kuruhusu mashabiki kuingia bure katika Uwanja wa Sokoine, mashabiki wa Mbeya City wameondoka uwanjani vichwa chini ...
CHATI ya Caf ya ubora wa klabu hupangwa kwa kuzingatia pointi ambazo klabu imekusanya katika ushiriki wake kwenye mashindano ...
TABORA United wamekuwa na msemo maarufu kwamba 'nyuki hakumbatiwi' kutokana na ukali wa mdudu huyo, lakini leo nyuki ...