Askari Polisi wafanya doria katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam,huku chadema wakitangaza adhima yao ya kufanya ...
Wakati Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (Zipa) ikisajili miradi mipya ya uwekezaji 353 yenye thamani ya Dola za 5.5 ...
Jumanne Septemba 17, 2025 akifunga mkutano mkuu wa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi na miaka 60 ya jeshi hilo, Rais ...
Dk Mpango amesema ni jambo muhimu kuheshimiana na kustahimiliana, akiwasihi Watanzania na watu wa Bara la Afrika waache ...
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha yenye urefu ...
Liwale. Changamoto ya wakazi wa kijiji cha Ngorongopa ya kutembea umbali mrefu zaidi ya kilomita10 kutafuta huduma ya afya ...
Wamevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kutokata tamaa na badala yake viendelee kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria ...
Akizungumza wakati wa kutambulisha programu ya Imasa mkoani Geita jana Septemba 20, 2024, Katibu wa Baraza la Taifa la ...
Jengo la Hosteli katika Shule ya Sekondari Ngoreme wilayani Serengeti lililoshindwa kukamilika kwa takriban miaka saba likiwa ...
Machi 2023, kiongozi huyo wa jeshi nchini humo kupitia mtandao wake wa kijamii wa X alionyesha nia ya kugombea nafasi hiyo ...
Kupitia video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Idrissa Makishe ambaye ni dereva wa bodaboda amedai tukio hilo ...
Kumbukumbu ya mechi za nyuma zinaipa Yanga hali nzuri kisaikolojia kupata matokeo mazuri dhidi ya CBE ya Ethiopia leo kwenye ...