Kufuatia maelekezo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ya kuwasimamia wachimbaji wadogo, Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) ipo mbioni kuanza ujenzi wa mtambo wa kuchenjua madini ya ...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, ametaja uwepo wa 'sumu' tano zinazoua maridhiano katika jamii, akiwataka Watanzania kujiepusha nazo ...
Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi ...
Mti wa mzimu wa Katabi, ambao hutumiwa na makabila ya Wagongwe, Wapimbwe na Wabende ndani ya Hifadhi ya Taifa Katavi, kufanya matambiko ya asili ili kuomba mahitaji mbalimbali, sasa umeanza kuvutia ...
MKUU wa Mkoa wa Kagera Fatma Mwassa amewaeleza vijana kwamba ujuzi wa fani mbalimbali ni ajira, inayoingiza fedha kubwa kuliko zile za kuajiriwa. Ametoa kauli hiyo leo wakati wa ufunguzi wa kongamano ...
THE Board of Directors of the African Development Fund (ADF), the concessional financing unit of the African Development Bank Group (AfDB), has approved a $9.38m grant to the government to strengthen ...
Wanamichezo nchini wamehamasishwa kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia ili kufikia lengo la Serikali la mwaka 2034 asilimia 80 ya Watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia. Wito huo ...
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameongoza Ujumbe wa Tanzania kushiriki katika mkutano wa pili wa Jukwaa la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za ...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko ametoa wito kwa wananchi wa Katavi kuchangamkia fursa ya kununua majiko banifu kwa bei ruzuku ya shilingi 7,500 yanayosambazwa kupitia Wakala wa Nishati ...
Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Mary Maganga, amesema Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ni Taasisi yenye umuhimu na nafasi kubwa katika kuwezesha ...
WAJASIRIAMALI maarufu kama Mama lishe wanaofanya shughuli zao katika kituo kikuu cha mabasi cha Msamvu, mjini Morogoro wameboreshewa biashara zao baada ya kampuni ya Coca-Cola Kwanza kuzindua Soko la ...
Katika tathmini ya utekelezaji wa ahadi za siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Pwani umejipanga kufanya uhakiki wa wananchi wasio na uwezo ili waweze kufikiwa na mpango wa Bima ya Afya kwa ...