Kupitia video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Idrissa Makishe ambaye ni dereva wa bodaboda amedai tukio hilo ...
Machi 2023, kiongozi huyo wa jeshi nchini humo kupitia mtandao wake wa kijamii wa X alionyesha nia ya kugombea nafasi hiyo ...
Kumbukumbu ya mechi za nyuma zinaipa Yanga hali nzuri kisaikolojia kupata matokeo mazuri dhidi ya CBE ya Ethiopia leo kwenye ...
Walioachiwa huru ni Ramadhan Gumbo, Fahadi Salehe na Ashraf Hamis waliotetewa na mawakili, Abdul Azizi na Nehemia Mkoko ...
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi linafanya doria jijini Dar es Salaam na viunga vyake kuanzia jana Septemba 20, 2024 askari ...
Pia, majukumu ya vyama hivyo si tu ya kusimamisha wagombea, bali pia kuhakikisha wananchi wanapata elimu sahihi na ya kina ...
Mafia. Baadhi ya wanawake wilayani Mafia wanaojishughulisha na kilimo cha mwani na biashara ya samaki wametaja ukosefu wa ...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema mfumo wa biashara ya kahawa nchini utafanyiwa mabadiliko makubwa yanayolenga ...
Hali hiyo itawaruhusu wakulima kuona ushindani wa wanunuzi wa zao hilo kutoka maeneo mbalimbali duniani na kushiriki katika ...
Marehemu alikuwa dereva bodaboda katika kijiwe cha Jangwani ambapo siku ya Septemba 19,2024 saa tatu usiku akiwa na pikipiki yake yenye namba za usajili MC827EHW, alikodiwa na watu ...
Chifu Chihwelesa anasema mwindaji huyo aliyeitwa Mpelembi alikuwa na mbwa wake wanawinda kwenye maeneo hayo ya Iyumbu na ...
Hivi haikushangazi kuona asilimia kubwa ya wanafunzi wanafaulu masomo ya kigeni kuliko somo la Kiswahili, lugha waliyozaliwa ...