Mreji wa Mto China uliopo katika daraja linalotenganisha Magomeni Kagera na Mbarahati Mianzini, wilayani Kinondoni, umekumbwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira baada ya takataka mbalimbali kukwama ndani ...