Wanahisa wa benki za biashara Tanzania wanatarajia kupokea kiasi kikubwa cha fedha za faida katika sekta hiyo, jumla ya Sh2 trilioni kwa mara ya kwanza katika historia ya Taifa hili.
Saa chache tangu ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa kikodi Kariakoo kuwaka moto, mamlaka hiyo imezihamishia kwa muda huduma zake katika majengo ya Diamond Plaza na Mariam Tower.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Dk. Doto Biteko ameongoza waombolezaji kuaga miili ya wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda iliyopo wilayani ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha maeneo ya bahari yaliyohifadhiwa. Amesema hatua hizo z ...
LICHA ya Arsenal kuwa na matumaini makubwa ya kuipata saini ya Ollie Watkins, Kocha wa Aston Villa, Unai Emery amedhamiria kumbakisha baada ya Jhon Duran kuwa katika hatua za mwisho kuuzwa Al Nassr.
NAPOLI imekataa ofa ya Euro 65 milioni kutoka Galatasaray inayohitaji kumsajili straika wao raia wa Nigeria, Victor Osimhen dirisha hili.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesihi wanachama wa chama hicho wasameheane. Lissu ...
Hii ni mara ya kwanza kwa rais wa Kongo kuzungumza tangu mashambulizi ya waasi katika siku za hivi karibuni mashariki mwa nchi hiyo, huko Goma. Wakati wa hotuba yake kwa taifa, rais wa Kongo ametangaz ...
Kuachiliwa kwa mateka, kunatazamwa kote ulimwenguni, kumekuja baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo ya mvutano yenye lengo la ...
Rais Paul Kagame amjibu Rais Cyril Ramaphosa na kuashiria mzozo mbaya wa kidiplomasia kati ya Afrika Kusini na Rwanda.