Mashabiki wa Simba watakwenda uwanjani Jumamosi wakiwa na matumaini makubwa ya ushindi na hiyo imetokana na timu yao kushinda mechi sita mfululizo ... Jumamosi ya Febuary 20, uwanja wa taifa Dar es ...
Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nchini Tanzania imeendelea kuthibitisha ukubwa wake, safari hii ikichezwa katika mazingira ya kipekee, kwenye uwanja wa kambini ama jeshini, Meja Jenerali ...
IMEKUWA kawaida kwa Yanga Princess kuona ikiuza wachezaji ambao wapo kwenye viwango bora kutafuta changamoto nje ya nchi na ...
Msemaji wa klabu ya Simba Ahmed Ally, amesema walilenga kuidhalilisha Yanga kwa kuwafunga, kwa sababu ya maandalizi mazuri waliyofanya, kuelekea dabi hiyo ya Kariakoo. “Tumeonesha kiwang cha juu cha ...
Mashabiki wa Simba wameanza kujinasibu kuwa safari hii ni ya kufuta uteja, wakikumbushia maumivu ya kupoteza michezo sita mfululizo dhidi ya watani wao wa jadi na mashabiki wa Yanga nao wanaonekana ...