Victoria Itenyo ni mama na mwanaharakati wa haki za watoto na pia anatoa ushauri nasaha juu ya masuala yanayohusu watoto na vijana nchini Kenya. Hatua hii ya kushughulikia afya ya akili kwa watoto na ...
Mila ana umri wa miaka 11. Ana mimba. Hivi karibuni alitoa mimba. Aliwaambia polisi mwezi Julai kwamba baba yake wa kambo alimnyanyasa kingono tangu alipokuwa na umri wa miaka saba. Hata hivyo, ...