Klabu ya Yanga ilitwaa taji lake la 30 la Ligi Kuu Tanzania Bara wakiandika historia ya aina yake, huku wakiwa wametwaa kombe hilo mara tatu mfululizo. Baada ya ubingwa unaoongeza historia ya klabu ...
Mabingwa watetezi Yanga wameendelea kung'ang'ania kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 3-0 kwa Nunge dhidi ya wenyeji, Singida Fountain Gate. "Wana nafasi kubwa ya kutetea ...